Sunday 25 November 2012

Ashura na maandamano ya waislamu

Waislamu wa madhehebu ya Shia walipokuwa wakiomboleza kuuliwa shahidi Imamu Hussein (as) mnamo mwaka 61 hijiria na viongozi wabaya kabisa waliojipa utawala juu ya Uislamu na kuwatawala waislamu kwa mabavu kinyume na maelekezo ya Mtume Mohammad (SAWW). Watawala hao ni Muawiyya bin abi Suffian na mwanawe Yazid ibn Muawiyyah. Ambao waliwaua kila watu waliojulikana kuwa ni Mashia yaani wafuasi wa Ahlulbayt rasul na pia waliua kila mtu aliyejaribu kuwasifu Ahlulbayt.







No comments:

Post a Comment