Wednesday 20 June 2012

SHUKRANI KWA UGENI WA MAULANA SHEIKH JALALA

Kiongozi wa Shia Islam Tanzania Sheikh Hemed Jalala Hemed wiki iliyopita tarehe 16 Juni 2012 alitutembelea hapa Morogoro na kutuasa mambo mengi ya msingi katika maendeleo yetu na ya Uislam kwa ujumla. Katika Ziara hiyo ya siku moja aliongozana na wataalamu wanzake wa dini ya kiislamu, wawili na wanaharakati kadhaa. kwa hakika ilifana sana ambapo alitembelea vituo vyetu vitatu tofauti katika mji huu wa Morogoro

No comments:

Post a Comment