Monday 1 October 2012

SHARI ZA MAWAHABI AU SARAFI

Mmoja wa viongozi wa kiislamu wa kijiji cha Mwandiga, katika mkoa wa Kigoma, Tanzania sheikh ABDALLA MNYILA amewaambia waumini wa kijiji hicho kuwa mawahabi wamepeleka fitina kubwa katika kijiji chao, mtafaruku ulikuwa mkubwa kiasi kwamba waumini wamegawika vijana na wazee. Ambapo vijana wamekuwa wakiwacharaza bakora wazee na kusababisha wazee waukimbie msikiti wa Majengo. Hii ilisababisha wazee wasalie mskiti wa KIBINGO, na msikiti wa MAJENGO wakaachiwa vijana.
Matukio haya ni tofauti na Uislamu ambao unahimizi umoja miongoni mwa waislamu

No comments:

Post a Comment