Friday 28 September 2012

MAREKANI NI MFADHILI MKUU WA UGAIDI DUNIANI

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Hillary Clinton amewaambia waandishi wa habari kuwa nchi yake imetoa msaada wa million 45 ili kusaidia waasi wa Syria ili waweze kuishinda serikali halali ya rais Bashar al Asad. Ushahidi unaonesha kuwa wengi wa wapiganaji wanaopinga serikali ya Syria si wasyria bali magaidi kutokea Afghanistan, Pakstan, Qatar, Libya, Uingereza, Ufaransa, Uturuki na Saudi Arabia.

No comments:

Post a Comment