Tuesday, 24 July 2012

Britain's ex-army commandos train Syria rebels: UK media

Media reports expose the involvement of Britain’s Special Air Service in training armed rebels in Syria. (File photo)
Media reports expose the involvement of Britain’s Special Air Service in training armed rebels in Syria. (File photo)
Britain’s former Special Air Service (SAS) commandos are reportedly training armed opposition groups fighting against the government of Syrian President Bashar al-Assad, reports say.

The Daily Mail and Sunday Express have revealed that the mercenaries have set up training camps in Iraq and on the Syrian border for the armed rebels.
British army sources, speaking on condition of anonymity, have said the militants are receiving instructions in military tactics, weapons handling and communications systems.
Groups of 50 militants at a time are being trained by two Mideast-based private security firms which employ former SAS personnel.

More than 300 rebel forces have completed the commando training program, and are said to account for a number of the opposition’s combatant units fighting Syrian security forces in Damascus.
Britain has also placed more than 600 troops on standby over the unrest in Syria.
UK Foreign Secretary William Hague says London should be acting outside the UN Security Council and step up its support for militant groups in Syria.

Syria has been the scene of violence by armed groups since March 2011.

Damascus blames “outlaws, saboteurs, and armed terrorist groups” for the unrest, asserting that it is being orchestrated

Pope butler under arrest for revelation


Pope Benedict XVI (L) blesses pilgrims from his popemobile with his butler, Paolo Gabriele (bottom R) at Saint Peter
Pope Benedict XVI (L) blesses pilgrims from his popemobile with his butler, Paolo Gabriele (bottom R) at Saint Peter's Square at the Vatican on April 25, 2012.
 
Vatican has punished and put under house arrest Pope Benedict XVI’s butler rather than admiring him for his fight against corruption inside the Holy city.
The butler, Paolo Gabriele was released from the Vatican cell and placed under house arrest awaiting a court ruling on whether he will stand trial.

He was arrested in May after providing the Italian media with a series of confidential documents of Vatican.

An investigative journalist then published hundreds of the secret documents, which revealed corruption, infighting, and power struggles at the Vatican's highest levels.

Gabriele’s lawyer Carlo Fusco, however, said what Gabriele had done was an “act of love” for the Pope and there was no conspiracy behind it.

"There are no networks or plots inside or out of the Vatican relating to Paolo Gabriele," said Fusco and Cristiana Arru, another lawyer of his.

"He wanted the Church to be more alive. He had an idea to help a situation that he thought he could improve. He acted out of idealism," Fusco said.

According to Italian media, he is accused of “aggravated theft” and, if convicted, he could be sentenced to 30 years in prison.

Gabriele worked in the papal apartments of the Apostolic Palace, serving at the papal tables, handing rosaries to visiting dignitaries, and riding in the first seat of the popemobile at papal audiences.


 

Iran calls for internationall help to ease plight of Muslim Myanmarese

Rohingya Muslims, who tried to flee Myanmar
Rohingya Muslims, who tried to flee Myanmar's religious violence, are seen after being intercepted as they tried to enter Bangladesh across the river Naf.

They (the Muslim Myanmarese) must have civil rights, therefore the Islamic Republic immediately adopted a stance and called on the Myanmar government to respect the rights of a number of its people who are Muslim.”
Iran's Foreign Ministry Spokesman Ramin Mehmanparast has called on Muslim countries to take measures to end the plight of the Muslim minority in Myanmar.

The Iranian official made the remarks during his weekly press conference on Tuesday. 
 
Mehmanparast said other countries should address the situation of the Muslims in Myanmar, adding that the Islamic community must support Muslim states.
Reports say 650 Rohingya Muslims were killed as of June 28 during clashes in the western region of Rakhine. This is while 1,200 others are missing and 80,000 more have been displaced.

The UN says decades of discrimination have left the Rohingyas stateless, with Myanmar implementing restrictions on their movement and withholding land rights, education and public services.

They are deprived of basic rights including education and employment and are subject to forced labor, extortion and other coercive measures.

The government of Myanmar refuses to recognize Rohingyas, who it claims are not natives, and classifies them as illegal migrants, although they have lived in the country for generations.

Thursday, 19 July 2012

Iran hails Hezbollah’s victory against Israel in 2006 war

Iranian Foreign Minister Ali Akbar Salehi
Iranian Foreign Minister Ali Akbar Salehi
 
Iranian Foreign Minister Ali Akbar Salehi has praised Hezbollah’s victory over Israel in the 33-day war in 2006 as a humiliating defeat for the Tel Aviv regime.
Undoubtedly, this victory is “the resistance’s greatest ever, a source of dignity and exaltation for the Islamic world and a turning point in the history of Muslims’ fights against the usurping enemy (Israel),” Salehi said in a message to Hezbollah Secretary General Seyyed Hassan Nasrallah on Wednesday.

The resistance along with the Lebanese nation foiled the enemies’ plots during the 33-day war and taught them an unforgettable lesson, the message said, expressing hope that the brilliant victory would prepare the groundwork for other victories of the resistance in the future.

Salehi’s message was submitted to Nasrallah by Iran's Ambassador to Beirut Ghazanfar Roknabadi on the sixth anniversary of the resistance movement’s victory in the 2006 war against Israel.

Nasrallah, for his part, praised the support of the Leader of the Islamic Revolution Ayatollah Seyyed Ali Khamenei and the Iranian nation of the Lebanese people and said it played a significant role in the victory of the Lebanese nation during the 33-day war.

In a separate message, Salehi also congratulated his Lebanese counterpart Adnan Mansour on the event.

He said Lebanon’s victory in the 33-day against Israel represented the pinnacle of the resistance’s triumphs over Israeli aggressions.

He also said that the Iranian nation and government support Lebanon’s stability, security and development and called for the enhancement of Tehran-Beirut ties.

Hezbollah will surprise Israel in any future war: Nasrallah

Hezbollah leader Seyyed Hassan Nasrallah speaks on the sixth anniversary of the movement’s victory in the 2006 war against Israel on July 18, 2012.
Hezbollah leader Seyyed Hassan Nasrallah speaks on the sixth anniversary of the movement’s victory in the 2006 war against Israel on July 18, 2012.

The Lebanese Resistance Movement said it has the capability to be victorious in any future war, Hezbollah Secretary General Seyyed Hassan Nasrallah stated in a televised speech on Wednesday night.

“Israelis are still suffering from the shock of their defeat in the 33-day war,” Nasrallah said, noting that the Israeli regime is still investigating the reasons behind their defeat in the 2006 war.
"Two hundred and fifty rockets were launched at Israel on the last day of the July war," he said, recalling how the then Israeli Prime Minister Ehud Olmert described the defeat as ‘catastrophic’.
Hezbollah's leader took pride in the military achievements of the Lebanese movement, emphasizing that its rockets are capable of hitting targets as far as Haifa and Tel Aviv.
Nasrallah voiced support for the Lebanese army and highlighted the need for national unity within Lebanon as the key to counter the US-Israeli strategy of fomenting sectarian disputes in the country and the region.
“The July [2006] was an Israeli trick,” he pointed out, noting that if Hezbollah had been defeated, Israel would have expanded the war to Syria.
“The second stage of the Israeli attack was aimed at bringing down President Bashar al-Assad’s government,” Nasrallah added, noting that Hezbollah’s victory in Lebanon thwarted this objective and prevented Syria from falling under the US-Israeli scheme.
Hezbollah’s leader blamed the West, headed by the United States, for preventing dialogue on Syria and supporting terrorist activities in the country.

"There is a US-Israeli project against Syria," he stated. “The US and Israel consider Syria as a problem, because Syria is a real supporter of resistance.”

The Lebanese leader also accused the West of heaping pressure on Iran because of its support for the Palestinian cause. He scoffed at the US attempts to undermine Iran's sovereignty, pointing out how all this pressure from the West has strengthened the Islamic Republic.

Tuesday, 17 July 2012

US tries to justify deadly attack in Persian Gulf, says boat ignored warnings

The US Navy supply ship USNS Rappahannock in the South China Sea on March 21, 2012
The US Navy Fifth Fleet says the sailors on the ship that launched a deadly attack in the Persian Gulf had warned the fishermen on the targeted boat before they opened fire.

The Bahrain-based fleet issued a statement on Monday saying that the USNS Rappahannock only attacked a small motor boat near the Dubai port of Jebel Ali, killing one and injuring three Indian fishermen, after they "ignored the warnings and came too close," Xinhua reported.

The statement added that the US ship used a series of non-lethal, preplanned responses to warn the vessel's operators to turn away from their "deliberate" approach before resorting to lethal force.

Jebel Ali port, one of the largest ports in the Middle East, is the most frequently visited port by ships of the US Navy outside the United States.

Sunday, 15 July 2012

US will not match Iran military power in Persian Gulf: Commander

Iranian Navy fires a Mehrab (Altar) missile during the Velayat-90 naval drills in the general area of Strait of Hormuz in southern Iran on January 1, 2012.
Iranian Navy fires a Mehrab (Altar) missile during the Velayat-90 naval drills in the general area of Strait of Hormuz in southern Iran on January 1, 2012.
 

Commander of IRGC Navy Rear Admiral Ali Fadavi
A senior Iranian commander says the United States is not capable of military engagement with Iran in the Persian Gulf and this is why it has resorted to sanctions.

“The reason why Americans have resorted to economic sanctions and mischief is that they cannot take advantage of military leverage. If the [global] Arrogance and the US could achieve their goals through military action, they would have certainly done that,” said Commander of Islamic Revolution Guard Corps (IRGC) Navy Rear Admiral Ali Fadavi.
Fadavi stated that Iran's missile power has greatly increased compared to the past and what US knows about Iran's missile capacities is much less than what it doesn’t know.
“The reason why the US has put its full force in oil and economic sanctions is that a military option against the Islamic Republic of Iran will be of no avail to them,” Fars News Agency quoted the commander as saying on Saturday.

Fadavi further noted that the US and the Zionist regime of Israel have had bitter experiences of 33-day war [with the Lebanese Hezbollah] as well as wars in Afghanistan and Iraq.

Over the past years, Iran has made important breakthroughs in its defense sector and attained self-sufficiency in producing important military equipment and systems.

On June 15, Iran's Navy Commander Rear Admiral Habibollah Sayyari said the Islamic Republic’s naval forces will firmly counter any threat and deal with insecurity single-handedly.

Tehran has repeatedly clarified that its military might is merely based on the nation's defense doctrine of deterrence and poses no threat to other countries.

Kiongozi Muadhamu amteua Sheikh Araki kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Taqriib

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei leo amemteua Hujjatul Islam Walmuslimin Muhsin Araki kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu ya Kiislamu. Vilevile amemteuwa Hujjatul Islam Walmuslimin Muhammad Ali Taskhiri kuwa mshauri wake mkuu katika masuala ya ulimwengu wa Kiislamu.
Matini ya barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya kumteuwa Sheikh Araki ni hii ifuatayo:
Janabi Hujjatul Islam Walmuslimin Sheikh Muhsin Araki, Mwenyezi Mungu adumishe taufiki yake kwako.
Kwa sasa ambapo Hujjatul Islam Walmuslimin Sheikh Muhammad Ali Taskhiri amejiuzulu nafasi ya Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya kukurubisha Pamoja Madhehebu ya Kiislamu baada ya kuhudumu kwa kipindi cha muongo mmoja na kwa kutilia maanani pendekezo la Baraza Kuu la jumuiya hiyo, ninakuteua kuwa Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu ya Kiislamu kutokana na uzoefu na tajiriba yako ya elimu na amali.
Katika kipindi cha sasa ambapo mwamko wa Kiislamu na mabadiliko ya kustaajabisha yanayofuatia mwamko huo yameuweka ulimwengu wa Kiislamu katika mojawapo ya vipindi muhimu sana katika historia, umoja wa umma wa Kiislamu na suala la kukurubisha pamoja madhehebu ya Kiislamu ni nguzo muhimu ya kupatikana na kulindwa ushindi wa harakati hiyo.
Katika upande mwingine maadui wa Uislamu na vinara wa kufru na unafiki wakiongozwa na Marekani na Israel wanafanya mikakati ya kubadili jihadi na mapambano na kuvifanya harakati za kuwakufurisha Waislamu na kuua watoto wa dini hiyo tukufu, au kwa maneno mengine kuanzisha vita vya Shia na Suni katika ulimwengu wa Kiislamu kwa shabaha ya kuyashughulisha mataifa ya Waislamu na ugonvi wa wao kwa wao huku wakidhani kwamba wanaweza kudhibiti uwezo wote wa kimaada na kimaanawi wa ulimwengu wa Kiislamu kupitia njia hiyo.
Inatarajiwa kuwa katika kipindi muhimu cha sasa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu ya Kiislamu itaufanya udiplomasia wa umoja wa Kiislamu kuwa stratijia yake kwa kutumia uzoefu wenye thamani wa miaka iliyopita na ubunifu wa masuala yanayohitajika katika zama hizi ikishirikiana na wasomi wa Ulimwengu wa Kiislamu hususan wanafikra wa vyuo vya kidini na vyuo vikuu. Vilevile ni matarajio kuwa jumuiya hiyo itaweka misingi ya kuanzishwa umma mmoja wa Kiislamu mkabala wa kambi ya ubeberu.
Namuomba Mwenyezi Mungu SW akupe taufiki wewe na wafanyakazi wenzako.
Sayyid Ali Khamenei
20 Tir 1391
Wakati huo huo Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amemshukuru Hujjatul Islam Walmuslimin Sheikh Muhammad Ali Taskhiri kwa huduma zake kubwa za mwongo mmoja katika Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu ya Kiislamu na amemteuwa kuwa mshauri wake mkuu katika masuala ya ulimwengu wa Kiislamu.

‘Israeli’ drone crashes in E Lebanon

An Israeli Heron TP surveillance drone (file photo)
An Israeli Heron TP surveillance drone (file photo)

An unmanned spy drone, reportedly belonging to Israel, has crashed in eastern Lebanon, according to the country’s official news agency.
The drone was downed in the village of Younin in the Baalbek region on Saturday and caused fire in the area, the National News Agency reported.

Lebanese security forces surrounded the area and officials are investigating the cause of the incident.

Informed sources announced that the spy drone belonged to Israel.
Israeli reconnaissance planes have usually violated the Lebanese airspace, despite UN Security Council Resolution 1701 which brokered a ceasefire in the war Israel launched against Lebanon in 2006.
The resolution calls on Israel to respect Lebanon's sovereignty and territorial integrity.

In 2009, Lebanon filed a complaint with the United Nations, presenting over 7,000 documents pertaining to Israeli violation of the Lebanese territory.

Thursday, 12 July 2012

West’s regime change bid in Syria failed: Iran lawmaker

Syria has been experiencing unrest since mid-March 2011.
Syria has been experiencing unrest since mid-March 2011.

The West has been compelled to accept the demands of the wise Syrian people and the [Syrian] nation and government will foil the enemies’ plots through unity.”
Member of the Majlis Committee on National Security and Foreign Policy, Esmail Kowsari
A senior Iranian lawmaker says the Western powers have failed in their bids to overthrow the Syrian government and have been forced to bow down to the will of the united Syrians.

“The West has been compelled to accept the demands of the wise Syrian people, and the [Syrian] nation and government will foil the enemies’ plots through unity,” said Esmail Kowsari, a member of the Majlis Committee on National Security and Foreign Policy.

He added that China and Russia, as two permanent members of the UN Security Council, played a “fundamental” role in opposing the UN resolutions against Syria.
Following the Sino-Russian support for Damascus, the West abandoned efforts to topple the Syrian government, he pointed out.
The legislator pointed to the resistance of independent regional countries, including Iran, Lebanon and Syria, against hegemonic powers and urged them to reinforce unity.
Kowsari stated that the strength of the resistance front depends on the unity and alliance of its members.

Syria has been experiencing unrest since mid-March 2011. The violence has claimed the lives of many people, including security forces.
The West and the Syrian opposition accuse the government of killing protesters, but Damascus blames ‘outlaws, saboteurs, and armed terrorist groups’ for the unrest, asserting that it is being orchestrated from abroad.

One Palestinian killed, several wounded in Israeli attacks on Gaza Strip

An Israeli soldier sits atop a tank near the northern Gaza Strip. (File photo)
An Israeli soldier sits atop a tank near the northern Gaza Strip. (File photo)

One Palestianian has been killed and several others injured in Israeli strikes on the besieged Gaza Strip, medical sources say.
The Palestinian lost his life in an airstrike near the Shejaiya neighborhood while two others were wounded. Three others were injured as Israeli tanks fired shells on the same area on Thursday.

Ashraf al-Qodra, spokesperson of the Ministry of Health in Gaza, said the Israeli army fired several shells into the area leading to excessive damage.

The wounded were moved to the al-Shifa Hospital in Gaza.

Furthermore, several armored Israeli military vehicles and a number of armored bulldozers invaded the area, and uprooted farmlands while the army fired shells and rounds of live ammunition.

The Israeli military frequently attacks the Gaza Strip, saying the actions are being conducted for defensive purposes. However, disproportionate force is always used, in violation of international law, and civilians are often killed or injured.

In addition to airstrikes and ground attacks, the Tel Aviv regime also denies about 1.7 million people in Gaza their basic rights, including the freedom of movement and the right to decent living, work, health and education.

Gaza has been blockaded since 2007, a situation that has caused a decline in the standard of living, unprecedented levels of unemployment, and unrelenting poverty.

Monday, 9 July 2012

UWAHHABI: ASILI NA KUENEA KWAKE sehemu 2


Katika mwaka 1306 (1888) wakati ambapo kitabu kiitwacho Mir’at al-Haramain kilipoandikwa, kiongozi wa Najd alikuwa ‘Abdullah ibn Faysal, kutokea kizazi cha Muhammad ibn Sa’ud, na Qadhi pia alikuwa ametokana na kizazi cha Muhammad ibn ‘Abd al-Wahhab.

Baba yake mzazi wa Muhammad ibn 'Abd al-Wahhab, ‘Abd al-Wahhab, ambaye alikuwa ni mcha Mungu, ‘alim halisi katika Madina, ndugu yake Sulaiman ibn ‘Abd al-Wahhab na waalimu wake walikuwa wamekwisha tambua kutoka maneno, matendo, ishara na mawazo yake, ambayo mara kwa mara alikuwa akidhihirisha katika sura ya maswali alipokuwa mwanafunzi huko Madina, kuwa atakuwa mpotofu ambaye ataidhuru mno Islam kwa undani katika kipindi kifupi kijacho. Wao wote kwa pamoja walimuasa na kumnasihi aache mawazo yke hayo ya upotoshi na vile vile walikuwa wakiwashauri Waislamu wote kwa ujumla wasimfuate na wajiepushe na Muhammad ibn 'Abd al-Wahhab. Lakini katika muda mfupi tu walikumbana na jambo walilokuwa nalo khofu, na yeye alianza kueneza uzushi wake huo kidhahiri kwa jina la Uwahhabi. Kwa ajili ya kuwapotosha majahili na wapumbavu, yey alijitokeza kwa mawazo ya kurekebisha na kuzua mambo ambayo hayakubaliani na vitabu vya maulamaa wa Islam. Yeye alithubutu kwa kishindo kuwatuhumu Waislamu wa Ahl as-Sunnah wal Jama’a kuwa ni makafiri. Yeye alikuwa akiamini kuwa ni shirk kumwomba Allah swt kwa kupitia Mtume Muhammad s.a.w.w. au Mitume mingine a.s. au ma-Awliya’’ na kuzuru makaburi.

Muhammad ibn 'Abd al-Wahhab alikuwa akimwona mtu yeyote yule anayesali na kuomba karibu na kaburi kuwa ni Mushrik. Yeye alisisitiza kuwa Waislamu wasemao kuwa mtu fulani au kitu fulani mbali na Allah swt kimefanya hivi au vile,kwa mfano, kwa kusema kuwa dawa fulani na fulani zimeponyesha au mimi nimeweza kupata kile nilichokuwa nikihitaji kwa kupitia Wasila wa Mtume Muhammad s.a.w.w. au au mawali fulani fulani basi hao wote ni Mushrik. Ingawaje waraka wa Muhammad ibn 'Abd al-Wahhab hazikuwa chochote isipokuwa ni uongo na fitina tu, lakini majahili hawakuweza kutofautisha baina ya ukweli na uongo, wale wasiokuwa na kazi, wazururaji, majahili, wenye kuvizia bahati na wenye nyoyo ngumu walizipokea mawazo yake na kujiweka bega kwa bega pamoja naye na kuamini wale Waislamu waliokuwa katika njia sahihi kuwa wote kwa pamoj ni makafiri.

Wakati Muhammad ibn 'Abd al-Wahhab alipowaomba ruhusa watawala wa Dar’iyya kutaka kueneza imani zake za uzushi kwa kupitia utawala wao, wao walimpokea kwa mikono miwili kwa matumaini ya kupanua eneo la utawala na kuzidi kwa nguvu zao.  Wao walijitolea kwa hali na mali kueneza imani hizo kila mahala.  Wao hata walithubutu kutangaza vita dhidi ya wale wote waliokuwa wakimkataa na kumpinga. Watu  Mahayawani na  wateka nyara wa jangwani walikuwa wakishindana katika kujiunga na jeshi la Muhammad ibn Sa’ud wakati pale iliposemwa kuwa ni halali kumwua na kupora mali za Waislamu. Katika mwaka 1143 ( 1730 ), Muhammad ibn Sa’ud pamoja na Muhammad ibn 'Abd al-Wahhab wakishirikiana kwa pamoja walifikia maafikiano kuwa wale wote ambao hawata kubalia Uwahhabi, basi watakuwa ni makafiri na Mushrik, na hivyo ilikuwa ni halali kwao kuwaua na kutaifisha mali yao yote, na walitangaza rasmi amri hiyo miaka saba iliyofuatia.  Hapo ndipo Muhammad ibn 'Abd al-Wahhab alipoanza kutunga uzushi wa ijtihad pale alipokuwa na umri wa miaka thelathini na miwili na aliitangaza kidhahiri pale alipokuwa na umri wa miaka arobaini.

Saturday, 7 July 2012

Kenya yasema itaendelea kununua mafuta ya Iran

Wizara ya Kawi nchini Kenya imesema itaendelea kununua mafuta ghafi kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran licha ya vikwazo vya upande mmoja vya Marekani na Umoja wa Ulaya dhidi ya sekta ya mafuta ya Tehran.
Katibu wa Kudumu wa wizara hiyo, Patrick Nyoike amesema kuwa serikali za Nairobi na Tehran zilitiliana saini mkataba kuhusu biashara ya mafuta mwezi uliopita na ameongeza kwamba Kenya itanunua tani milioni 4 za mafuta ghafi ya Iran kila mwaka. Nyoike hata hivyo hakutoa maelezo zaidi kuhusu mkataba huo kati ya nchi hizo mbili.
Hii ni katika hali ambayo Marekani na nchi za Umoja wa Ulaya zilianza kutekeleza vikwazo vya mafuta dhidi ya Iran hapo jana Julai 1 kama njia ya kuishinikiza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran isimamishe miradi yake ya kuzalisha nishati ya nyuklia yenye malengo ya amani. Tehran imesema vikwazo hivyo havitakuwa na athari kwa uchumi wake bali nchi za Ulaya zinazokumbwa na mtitigo wa kiuchumi ndizo zitakazoumia kutokana na kupanda bei ya mafuta katika soko la kimataifa.

Mchakato wa katiba waendelea Tanzania, Wazanzibari wataka mamlaka kamili



Huku tume ya kutafuta maoni kuhusu katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Jaji Joseph Sinde Warioba ikiwa imeanza kazi zake rasmi kwa kutuma wajumbe wake katika baadhi ya mikoa na Tanzania Bara na Zanzibar, baadhi ya Wazanzibari waliotoa maoni yao wamesisitizia haja ya Zanzibar kuwa na mamlaka kamili ya kujiamulia mambo yake na kushirikiana na Tanganyika kimkataba katika baadhi ya mambo.










Kwa upande wa Zanzibar, wajumbe wa tume hiyo wameanza kukusanya maoni yao katika mkoa wa Kusini Unguja kwenye viwanja vya Mtende Makunduchi ambapo baadhi ya watu waliopata fursa ya kutoa maoni yao wamependekeza kurejeshwa kwanza serikali za Tanganyika na Zanzibar na halafu kuungana katika baadhi ya masuala kimkataba.
Wametoa mfano wa kuzuiwa Zanzibar kujiunga na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC kwa sababu ya Muungano na pia kushindwa Zanzibar kuwa mwanachama wa Shirikisho la Soka la Dunia (Fifa) kwa sababu hizo hizo za Muungano, na kutaka ipewe mamlaka kamili ya kujiamulia mambo yake.
Katika upande mwingine, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar, Haji Omar Kheri amesema kwamba, kukosekana kwa uzalendo na tamaa ya kipato kikubwa ni moja ya sababu ya baadhi ya wananchi wataalamu kuacha kazi Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na kukimbilia ughaibuni.
Amesema hayo wakati alipokuwa anajibu swali katika Baraza la Wawakilishi, kutoka kwa Mwakilishi wa Jimbo la Wawi (CUF) Saleh Nassor Juma aliyetaka kujua sababu za wataalamu wa Zanzibar kukwepa kufanya kazi visiwani humo na badala yake kukimbilia ughaibuni.

UWAHHABI: ASILI NA KUENEA KWAKE sehemu 1


Katika zama za utawala wa Uthmaniyyah (Ottoman Empire), tawala zote ambazo zilikuwapo katika bara la Uarabu, kila jimbo lilikuwa na maofisa waliokuwa wameteuliwa kutoka serikali kuu. Baadaye, kila mkoa isipokuwa Hijaz ilikuwa mikononi mwa wale walioweza kuzinyakua na kuwa tawala za Kifalme.

Imani za Mawahhabi zilizoenezwa na Muhammad ibn ‘Abd al - Wahhab zilikuwa zimeshabadilika kuwa katika sura za kisiasa katika kipindi kifupi katika mwaka 1150 A.H.( 1737) na zilienea Bara zima la Arabia. Baadaye, kwa amri za Khalifa wa Istanbul, Muhammad ‘Ali Pasha, Gavana wa Misri, aliikomboa Arabia kwa msaada wa majeshi ya Misri.

‘Abd al-‘Aziz ibn Muhammad, aliyewaamini Mawahhabi, alitangaza vita kwa mara ya kwanza katika 1205 A.H. (1791) dhidi ya amir wa Makkah, Sharif Ghalib Effendi. Wao walikuwa wamekwisha eneza Uwahhabi kisirisiri hadi hapo. Wao waliwaua na kuwatesa Waislamu wengi mno, kuwachukua wanawake na watoto wao mateka na kuzipora mali zao zote.

Muhammad ibn 'Abd al-Wahhab alitokana na kabila la Bani Tamim. Alizaliwa katika kijiji cha Uyaina karibu na mji wa Huraimila huko katika jangwa la Najd, mwaka 1111 A.H.(1699) na kufa 1206 A.H.( 1792). Hapo awali alikuwa na nia ya kufanya biashara, hivyo alisafiri hadi Basra, Baghdad, Iran, India na Damascus, ambako kote huko alijipatia sifa la jina kama Sheikh wa Najdi kwa sababu za ujanja na tabia yake.Yeye aliona na kujifunza mambo mengi katika sehemu hizi na hivyo akawa na hamu ya kuwa kiongozi mkubwa. Hivyo ili kutaka kutimiza hamu yake hiyo ilimbidi abuni njia moja iliyokuwa tofauti na njia zinginezo ili aweza kutimiza malengo yake, na kwa kujitayarisha kwa hayo, alianza kuhudhuria mihadhara ya maulamaa wa Kihanbali waliokuwapo katika Mji Mtukufu wa Madinah na baadaye huko Damascus kwa kipindi fulani. Wakati aliporejea Najd, alianza kuandika makala juu ya maudhui ya dini kwa ajili ya wanakijiji wake.Katika kuandika makala hayo,yeye alikuwa akiongezea fikara zake alizokuwa amezipata kutoka makundi ya bid’a ya Mu’tazila na wengineo. Wanakijiji wengi waliokuwa masikini majahili, hususan wakazi wa Dar’iyya na chifu wao jahili, Muhammad ibn Sa’ud, walikuwa wakimfuata Muhammad ibn 'Abd al-Wahhab. Waarabu walikuwa wakiheshimu mno ukabila na kwa kuwa Muhammad ibn 'Abd al-Wahhab alikuwa si kutoka kabila maarufu, basi alimtumia Muhammad ibn Sa’ud kama chombo kwa kutangaza fitna yake mpya aliyokuwa ameiita Uwahhabi. Yeye alijitambulisha kama Qadhi (mkuu wa mambo ya dini ) na Muhammad ibn Sa’ud kama Hakim (mtawala). Kwa hila zake alikwishafanya mabadiliko katika katiba yao kuwa wao hawatarithiwa na mtu yeyote yule isipokuwa watoto wao tu.

Spika wa Bunge la Syria: Uturuki, Saudi Arabia na Qatar zinaunga mkono magaidi












Spika wa Bunge la Syria ametangaza kuwa, nchi za Saudi Arabia, Uturuki na Qatar zinayasaidia makundi ya kigaidi yanayotekeleza mauaji katika ardhi ya Syria.
Spika Muhammad Jihad al-Laham amezikosoa vikali Saudia, Uturuki na Qatar kwa kuchochea machafuko ndani ya ardhi ya Syria ikiwa ni pamoja na kuyaunga mkono makundi ya kigaidi katika nchi hiyo.

Amesema, nchi hizo zimekuwa zikitoa misaada ya kifedha na kilojistiki kwa makundi ya kigaidi nchini Syria ili kukabiliana na wananchi pamoja na serikali ya Damascus. Spika wa Bunge la Syria ameituhumu Uturuki kwamba, inafuata siasa za Marekani katika kadhia ya nchi hiyo; kwani silaha nyingi zinazoingia Syria kwa ajili ya makundi ya kigaidi zinapitia katika mpaka wa nchi hiyo na Uturuki.

Thursday, 5 July 2012

UWAHABI 1


UTANGULIZI 
 KWA JINA LA ALLAH SWT MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.

Natoa shukurani zangu kwa Allah swt, Mtume Muhammad s.a.w.w. pamoja na Ahli Bayt tukufu ya nyumba yake a.s. kwa kunijaalia uwezo wa kuandika makala hawa.

Allah swt amewatuma Mitume a.s. kuja kutuongoza na kutuletea maamrusgo Yake ili tusihangaike kwa kutapatapa huku na huko tukitafuta kipi ni kweli na sahihi. Lakini wapo watu wenye uchu wa kujitakia dunia kwa hali yoyote ile, hivyo wanawasahau Mitume a.s. na ujumbe waliokuwa wametuletea katika miaka yote hiyo. Kwa tamaa na uroho wao wanachafua dunia na desturi za amani.Wanawatesa na kuwateketeza watu bila ya kujali kuwa wao wafanyavyo si haki.

Mtume s.a.w.w. alisema kuwa, “Ummah wangu utagawanyika katika makundi sabini na tatu, ni kundi moja tu litakaloingia Peponi.” Hivyo makundi sabini na mbili, kama zilivyobainishwa, zitaingia Motoni kwa sababu za itikadi zao potofu, na kwa hakika hayo yameshakwisha tokea. Makundi haya sabini na mawili si makundi ya makafiri kwa kutojua ilimu sahihi ya Qur’an na Hadith, lakini wataingizwa Motoni kwa sababu wao wamediriki kuubadilisha Uislamu. Na hao wanaitwa ahlul bidaa au -dalala wakaidi. Wakaidi, kwa sababu wao ni Waislamu, na hapo mbeleni watatolewa kutoka Jahannam na kupelekwa Peponi. Mbali na hao, wapo wale ambao ni Waislamu lakini wanakuwa katika jitihada za kuubadilisha kwa ilimu yao potofu na kipeo chao kidogo, hivyo wanatoka nje ya Uislam. Kwa hakika hao watabakia Motoni kwa milele. Nao ni Zindiq na wachafuzi.
Leo, watu waitwao la-madhhabi wanatumia mamilioni ya madola kwa kueneza imani zao potofu katika kila nchi humu duniani. Ni jambo lakusikitisha mno kuona kuwa hawa waroho wa mapesa wamekuwa wakivutiwa mno katika imani zao potofu na za kufitini, huku nyuma wakiachia hazina kubwa waliyoachiwa na Ahl al-Bayt a.s. ya Nyumba ya Mtume Muhammad s.a.w.w. na Maulamaa wa Ahl-as-Sunna. Hao Mawahhabi wamejaribu kwa jitihada zao zote kuwadanganya Waislamu kuwa vitabu vya Maulamaa wao vinawapotosha. Wao wametayarisha vitabu na propaganda zao dhidi ya Islam halisi iliyokuja kwetu kutokea Mtume Muhammad s.a.w.w., kwa maandiko ya Mawahhabi yaliyojaa upotofu na vitisho na ulaghai.

Kwa hakika Muhammad ibn 'Abd al-Wahhab na kizazi chake wamekuwa wakitoa imani zao potofu kwa kuchapa vitabu ambavyo vimekuwa vikiwapotosha Waislamu kwani walikuwa wakizitumia Ayah za Qur’an tukufu dhidi ya Waislamu wenyewe. Wao hata walithubutu kuwaita Waislamu kuwa ni Makafiri kwa kuelezea kiuongo Ayah na Hadith. Na jambo hili ndilo limenifanya mimi niandike mfululizo wa makala hizi ambazo zitafichua uasili wao.

Mada hizi ni sehemu moja ya kitabu kamili juu ya Mawahhabi. Sehemu hii inazungumzia vile Mawahhabi walivyotokezea, vile walivyo enea vile majahili na makatili waliojiingiza katika Uwahhabi ili kujipatia mali na vyeo wamewateketeza na kuwaua Waislamu na kuzipora mali zao.

Tunamwomba Allah swt awasaidie Waislamu wasiteleze kutumbukia katika mitego ya Mawahhabi.

Nimevaa hijabu ili niwe karibu na Mwenyezi Mungu


 Nimevaa hijabu ili niwe karibu na Mwenyezi Mungu
Masha baada ya kukubali Uislamu alikuwa ni Mwanamke wakirusia, Muimba Muziki, Mshiriki wa Model wa Dunia kukubali Uislamu.
Ripoti ya ABNA- Na haya ni mazungumzo yaliofanyika baina ya Mwandishi wa habari na Masha;
-ikikuwaje kukubali Uislamu?
Masha: Mwanyezi Mungu kanisaidia katika hilo na huu ni uwezo wake Allah.
-kipindi ulichokua Muimba Muziki je ulifikiria kama Siku moja utakuwa Muislamu?
Masha: la hasha Sikufikiria hata kamwe kama inaweza kutokea kuwa Muislamu.
-Je kunanjia zozote zile ulizopitia katika kusaidia kuwa Muislamu?
Masha: nilipo kuwa Muislamu nilikuwa na Rafiki yangu alitokewa na matatizo na kuwekwa katika komaa (kutozungumza au kusema au harakati yoyote ile) nilifikiria njia ya kumsadia Rafiki yangu ni kumuombea Dua ni swali na kumuomba mola amsadie Rafiki yangu baada ya Dua yangu alipona na kunipigia Simu na kunieleza kuwa mimi ndie niliemsaidia kupona katika Maradhi yake, tokea kipindi kile nilibadilika na kuwa tofauti.
-unakazi gani kwa sasa?
Masha: sasa ni Mwalimu wa Chuo kikuu.
-Je hadi sasa bado unasikiliza Muziki?
Masha: Ndio bado nasikiliza Muziki  wa kundi la Raihan kundi la Sami Yusuf.
-Je unapoangalia Picha zako katika Internet haukasiriki?
Masha: mie mwenyewe sitaki kuona Picha hizo ila si vibaya Watu wazione na kuzingatia kuwa kuna uwezekano wa kuzaliwa mara ya pili na kufikiria machafu tuliyo fanya hapo kabla.
-Ni kitu gani unaweza kuwambia Watu kunako Uislamu?
Masha: Uislamu unasema; ni lazima kumjua Mwenyezi Mungu  na kama hatutoweza tujitahidi kumjua ili kuondokwa na Madhambi, Kiburi, Husda n.k.
-Ama kwa wasio kuwa Waislamu utawaambia vipi?
Masha: kwa wale bado hawajakuwa Waislamu wajitahidi kujua haki na kuacha Imani za ujinga