Sunday 1 July 2012

MAPENZI YA WATU WA JINSIA MOJA

Rais wa Ufaransa ametangaza nchi yake inaandaa mswada wa kuidhinisha mapenzi wa watu wa jinsia moja. Itakapopitishwa itaifanya Ufaransa kuwa nchi ya sita kupita ndoa za wanaume kwa wanaume au wanawake kwa wanawake.

Nchi za Ulaya zimeharibika kiasi hicho kwa madai ya haki za binadamu na demokrasia. Watu hawa hawana aibu wala dini. Ninawaomba waislamu tushirikiane kutangaza Uislamu dunia nzima kwani ndio dini pekee inayosimamia maadili dunia. Ukristo umedhihisha kuwa hauna uwezo wa kuwaongoza wanadamu katika njia sahihi kwa sababu amma wachungaji na maaskofu nao wanajihusisha na mapenzi ya watu wa jinsia moja kama ilivyo kwa kanisa  la Anglikana au wameshindwa kukemea kwa kuwa waumini wao ni wateja hivyo wanaogopa kupoteza waumini.

No comments:

Post a Comment