Tuesday 10 June 2014

JESHI LA ISRAEL LINAIOGOPA HIZBULLAH (MASHIA WA LEBANON)






















                                                                           drone ya Hizbullah
JESHI LA ISRAEL LINAIOGOPA HIZBULLAH (MASHIA WA LEBANON)
Kamanda wa Majeshi ya Israel Luteni Jenerali Benny Gantz amesema kuwa Hizbullah imekuwa ya saba duniani kwa nguvu za kijeshi, ikitanguliwa na Marekani, Russia, Ufaransa, Uingereza, China na Israel. Kamanda huyo anadai kuwa uwezo huo imeupata kutokana na uzoefu iliyoupata katika kupambana vita mbali mbali ikiwepo vita vya Syria ambapo Hizbullah imefanikiwa kuilinda serikali hiyo isiangushwe na Marekani na washirika wake, wanaotumia makundi ya waasi na magaidi kuzua vurugu na vita katika nchi nyingi duniani ikiwemo Syria, Misri, Libya, Tunisia, Mali, Afrika ya Kati, Afghanistan, Iraq na Pakistan.
Cha ajabu kamanda huyo ameonesha kuwa mwalimu wa Hizbullah yaani Iran kuwa haina uwezo wa kivita na kwamba nchi yake inajiandaa kuishambulia ili kubomoa vinu vyake vya nyuklia.
The head of Zionist armed forces Lieutenant General Benny Gantz said that Hezbollah has become the seventh military power in the world, adding that only the US, Russia, France, Britain, China and 'Israel' posses more fire power than the party.

Speaking at the Herzliya Conference, Gantz pointed out that 'Israel' has to be worried about the military experiences which Hezbollah gained from its intervention in Syria, stressing that the Israeli army has to be alert at the northern borders because Hezbollah fighters still deploy in the area.

The Israeli military chief added that Hezbollah has fought in Syria at several fronts simultaneously, what threatens 'Israel' if the party accumulates  and uses all these military capabilities to fight the Zionist army.

Gantz considered that the developments in Syria do not serve the Zionist interests as long as President Assad rules that country.

On Iran, Gantz claimed that using the military power to halt Tehran's nuclear program is "a must". Source:
Almanar Tv Lebanon.

No comments:

Post a Comment