Watu hao wamejitolea
kutoka katika dini, madhehebu na makabila yote ya Iraq. Hii ni kinyume na uongo
unaosambazwa na Mawahhabi kuwa vita vile ni kati ya Sunni na Shia. Hakika
Mawahhabi ni maadui wa watu wote na wala sio shia pekee. Kwa mfano, walipouteka
mji wa Mosul waliuwachinja masheikh wa Kisunni wapatao 12 na mamia ya masunni
wa kawaida.
No comments:
Post a Comment