ALAMA YA MNAFIKI
[۲۰۱۴/۸/۱۴، ۱۲:۴۲] +255 717 603 344: Naaam na mnafiki utamjua tu kupitia alama alizoziweka Mtume s.a.w.w maana amesema kipimo cha kumjua mnafiki:یا علی لا یحبک الا مومن ولا یبغضک الا منافق.Hicho ndio kipimo na mwenye kukataa maneno ya hekima ya Imam Ali a.s akiambiwa achukia basi huyo amchukia Imam Ali (a.s),na mwenye kumchukia Imam Ali -a.s- ni mnafiki na hana Imani maana muumini ni mwenye kumpenda Imam Ali (a.s) na kumpenda ni kusikiliza maneno yake na mafunzo yake yalokuwa mazuri na kujifunza maneno hayo na kuwafikishia watu wengine maana Imam Ridha a.s anasema lau watu wangelijua maneno mazuri yatokayo kwetu basi wangelitufuata:
لو علموا الناس محاسن کلامنا لتبعونا
[۲۰۱۴/۸/۱۴، ۱۲:۴۸] +255 717 603 344: Shia hatukani...shia huwa na busara shia huwa na hekima shia huchunga ulimi wake shia huchunga heshima ya wakubwa shia hujipamba na sifa ya adabu...shia ni mfuasi wa Ahlul Bayt a.s.....hakuna sehemu Ahlul Bayt a.s wanatufunza jazna..kutukans kujibu hovyo...Ahlul Bayt a.s hawatufunzi kuwambia wanaotuzidi umri au hata tunaowazidi kuwa wewe unaropoka...au wewe kafiri au wewe huna akili...sijapata mafunzo hayo kwa Imam yeyote wa Ahlul Bayt a.s.
Nani shia anaweza kudai kapokea funzo la tusi toka kwa Ahlul Bayt a.s?!
Hivyo wenye kutusi wametoa wapi mafunzo hayo....hakuna shaka wametoa kwa watu waovu wasio funza maadili..mtoto umleavyo ndivyo akuavyoلو علموا الناس محاسن کلامنا لتبعونا[۲۰۱۴/۸/۱۴، ۱۲:۴۸] +255 717 603 344: Shia hatukani...shia huwa na busara shia huwa na hekima shia huchunga ulimi wake shia huchunga heshima ya wakubwa shia hujipamba na sifa ya adabu...shia ni mfuasi wa Ahlul Bayt a.s.....hakuna sehemu Ahlul Bayt a.s wanatufunza jazna..kutukans kujibu hovyo...Ahlul Bayt a.s hawatufunzi kuwambia wanaotuzidi umri au hata tunaowazidi kuwa wewe unaropoka...au wewe kafiri au wewe huna akili...sijapata mafunzo hayo kwa Imam yeyote wa Ahlul Bayt a.s.Nani shia anaweza kudai kapokea funzo la tusi toka kwa Ahlul Bayt a.s?!Hivyo wenye kutusi wametoa wapi mafunzo hayo....hakuna shaka wametoa kwa watu waovu wasio funza maadili..mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
No comments:
Post a Comment