Tuesday, 9 September 2014

FIKRA YA KISUNNI KHALIFA ACHAGULIWA NA WAISLAM.HIYO NDIO NJIA YA KUMPATA KHALIFA:


Swali kwao:

Ikiwa khalifa anapatikana kwa kuchaguliwa na waislam na kwamba Mtume (s.a.w.w) amewaachia waislam wachague wenyewe wamtakaye....basi tunaomba mtwambie Khalifa wenu wa pili ni nani alimchagua na kwa kibali gani au ni waislam wepi waliomchagua.Tupeni historia yenu kuhusu hilo?! Ndio; tunakubali khalifa wenu wa kwanza waislam walimchagua ktk ukumbi wa Saqifa kupitia mshike mshike kanga kuchanika na kma msemavyo kuwa hiyo ndio njia sahihi kwenu nyinyi mnavyoona ya kupatikana kwa khalifa wenu baada ya Mtume (s.a.w.w)!!!!...Lkn hatukubali hivi hivi bali tunakubali ili tukuulizeni swali la kimantiki: Je, huyo khalifa wenu wa pili na wa tatu hizo njia zilizotumika kuwateua km makhalifa zimeelezwa wapi ktk historia ya Maisha ya Mtume s.a.w.w?!.
Mnatia huruma ndugu zetu,yaani mambo yapo wazi tu lkn hakuna wa kujiuliza na hamtaki kujiuliza maswali ya kudadisi wala kujenga fikra za kiakili mnapandikizwa elimu feki bila kujitambua kuhusiana na matukio ya kihistoria.
Hebu jiulizeni:Ni Uislam gani huo ambao hauna mfumo mmoja wa kupatika Khalifa (yaani yaani Kiongozi) wa kuwaongoza waislam?!....mara mnasema khalifa anachaguliwa na waislam... ili mradi tu mtetee ukhalifa wa khalifa wenu wa kwanza...lkn khalifa wa pili hajachaguliwa na waislam na mkiulizwa nani alisema Abubakar kumteua omari ndio jambo zuri kumpata khalifa....kiswahili kinaingia mfukoni !!! maana tunawauliza Abubakar aliyemteua swahiba wake Omar awe khalifa (baada ya kujiona yeye Abubakar akaribia kuangamia) hilo linamfanya awe bora kuliko Mtume (s.a.w.w) maana yy kwa mtazamo wenu anauacha umma huu bila kuutangazia nani khalifa na wasii wake baada yake...!! Hivyo mnatoa meseji Kwa kujua au kwa kutojua kuwa Abubakar wenu khalifa wenu wa kwanza kwa hesabu yenu nyinyi ni bora zaidi ya Mtume wetu Muhammad (s.a.w.w) ?! Kwa kuwa kafanya jambo bora zaidi la kumteua swahiba wake Omar bin Khattabi km mtu atakayetizama na kuongoza umma huu wa kiislam baada yake na hilo Mtume (s.a.w.w) hakuliona?!!!
SUBHANNALLAH MNAMDHALILISHA MTUME WETU (S.A.W.W) NAKUMPA SIFA YA KUTOJALI WALA KUWA NA MAPENZI NA UMMA HUU NA HII IKIWA NI MATOKEO YA UJUHA WENU NA KUENDEKEZA TAASUBBI ZENU MPK MMEKUWA VIPOFU MNAMUONA ABUBAKAR BORA KULIKO MTUME WA UISLAM (S.A.W.W)!!.
MNAMUONA ABUBAKAR AUPENDA SANA NA KUUJALI UISLAM KIASI KWAMBA HAONI KUWA NI VYEMA AUACHE HUU UMMA BILA KUTEUA KHALIFA .....NA ANAMTEUA SWAHIBA WAKE OMAR BIN KHATTABI.... LKN MTUME (S.A.W.W) MHUSIKA WA UMMA HUU ANAONDOKA BILA KUJALI TU... NA KUWAACHIA WAISLAM WACHAGUE WAMTAKAYE.!! SUBHANALLAH..ALLAH ATUWEKE MBALI NA HIYO FIKRA DHIDI YA MTUME WETU (S.A.W.W.W).NDUGU ZANGU TUNAWAULIZA:
ما لکم کیف تحکمون ؟!!
Mnatia huruma ndugu zetu,yaani mambo yapo wazi tu lkn hakuna wa kujiuliza na hamtaki kujiuliza maswali ya kudadisi wala kujenga fikra za kiakili mnapandikizwa elimu feki bila kujitambua kuhusiana na matukio ya kihistoria.Hebu jiulizeni:Ni Uislam gani huo ambao hauna mfumo mmoja wa kupatika Khalifa (yaani yaani Kiongozi) wa kuwaongoza waislam?!....mara mnasema khalifa anachaguliwa na waislam... ili mradi tu mtetee ukhalifa wa khalifa wenu wa kwanza...lkn khalifa wa pili hajachaguliwa na waislam na mkiulizwa nani alisema Abubakar kumteua omari ndio jambo zuri kumpata khalifa....kiswahili kinaingia mfukoni !!! maana tunawauliza Abubakar aliyemteua swahiba wake Omar awe khalifa (baada ya kujiona yeye Abubakar akaribia kuangamia) hilo linamfanya awe bora kuliko Mtume (s.a.w.w) maana yy kwa mtazamo wenu anauacha umma huu bila kuutangazia nani khalifa na wasii wake baada yake...!! Hivyo mnatoa meseji Kwa kujua au kwa kutojua kuwa Abubakar wenu khalifa wenu wa kwanza kwa hesabu yenu nyinyi ni bora zaidi ya Mtume wetu Muhammad (s.a.w.w) ?! Kwa kuwa kafanya jambo bora zaidi la kumteua swahiba wake Omar bin Khattabi km mtu atakayetizama na kuongoza umma huu wa kiislam baada yake na hilo Mtume (s.a.w.w) hakuliona?!!!SUBHANNALLAH MNAMDHALILISHA MTUME WETU (S.A.W.W) NAKUMPA SIFA YA KUTOJALI WALA KUWA NA MAPENZI NA UMMA HUU NA HII IKIWA NI MATOKEO YA UJUHA WENU NA KUENDEKEZA TAASUBBI ZENU MPK MMEKUWA VIPOFU MNAMUONA ABUBAKAR BORA KULIKO MTUME WA UISLAM (S.A.W.W)!!.MNAMUONA ABUBAKAR AUPENDA SANA NA KUUJALI UISLAM KIASI KWAMBA HAONI KUWA NI VYEMA AUACHE HUU UMMA BILA KUTEUA KHALIFA .....NA ANAMTEUA SWAHIBA WAKE OMAR BIN KHATTABI.... LKN MTUME (S.A.W.W) MHUSIKA WA UMMA HUU ANAONDOKA BILA KUJALI TU... NA KUWAACHIA WAISLAM WACHAGUE WAMTAKAYE.!! SUBHANALLAH..ALLAH ATUWEKE MBALI NA HIYO FIKRA DHIDI YA MTUME WETU (S.A.W.W.W).NDUGU ZANGU TUNAWAULIZA:ما لکم کیف تحکمون ؟!!

No comments:

Post a Comment